Read Anywhere and on Any Device!

Subscribe to Read | $0.00

Join today and start reading your favorite books for Free!

Read Anywhere and on Any Device!

  • Download on iOS
  • Download on Android
  • Download on iOS

Majaribio ya Imani (Tempting Faith) (Swahili Edition)

Crystal Hubbard
0/5 ( ratings)
Mwandishi wa habari za burudani Faith Wheeler anajua siri ambayo inaweza kumpa umaarufu mkubwa Hollywood. Kwa bahati mbaya siri hiyo inaweza kumuharibia umaarufu wake mkubwa msanii nyota Zander Baron.
Nyota mpya kabisa anaechipukia kwa kasi wa filamu za ngumi waHollywood Zander ana kila sifa ambazo mwanaume yeyote angependa kuwa nazo – na mwanamke anazovutiwa nazo. Mtanashati, ana akili, huruma na mcheshi. Zander ana hewa ya ajabu ambayo inamfanya alete mshawasha wa kutaka kumjua zaidi. Hakuna mtu anayejua ukweli kuhusu asili na pengine hata jina lake halisi.
Isipokuwa Fortunata.
Fortunata anajua kila kitu kuhusu mwanaume huyu aitwaye Zander Baron, kwa sababu alishawahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi usiku mmoja wa ajabu na kusikitisha walipokuwa bado vijana katika mji mdogo wa Booger Hollow, Magharibi mwa Virginia. Faith anamfahamu alivyo na zaidi ya hapo anamjua Zander ni nani.
Akijawa na mipango ya kumfichua , Zander anatafuta kila mbinu ya kumnyamazisha. Anatumia uwezo wake wa akili , muonekano wake, uchangamfuwake na njia zote kumshawishi afiche siri yake, lakini maafa yanapoikumba tena Booger Holow, Zander anagundua ukweli kwamba hawezi kuishi bila ya mwanamke huyu – ni ufunguo wa kuaw na Fortunata.
Language
Swahili
Pages
202
Format
Kindle Edition
Release
January 01, 2012

Rate this book!

Write a review?

loader